Search

109 results for Bahati Chume :

  1. DC Timbuka: Tunapanga namna nzuri ya kuwanusuru wananchi na mafuriko

    Wilaya ya Siha ni miongoni mwa zilizoathirika na mvua hizo zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini

  2. Wananchi watakiwa kuchangamkia uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Wananchi kujitokeza kugombea uongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa

  3. Zaidi ya kaya 40 zazingirwa na maji Siha

    Wananchi waliopo maeneo hayo wametakiwa kuondoka na kutafuta sehemu salama za hifadhi

  4. Kiongozi mbio za Mwenge aonya upandaji miti wa fasheni

    Asema wengi wanaopanda miti kwenye maeneo mbalimbali wanafanya hivyo kujionyesha na si kuunga mkono juhudi za Serikali za kukabiliana na uharibifu wa mazingira.

  5. Kortini akidaiwa kumwingilia ng'ombe

    Akisoma mashitaka hayo Januari 22, 2024 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Jasmini Abduli, Mwendesha Mashitaka wa Serikali, David Chisimba ameieleza Mahakama hiyo kuwa mshitakiwa...

  6. Watakiwa kula zaidi vyakula vya asili kujikinga na magonjwa

    Wito huo umetolewa leo Desemba 22 katika Hospitali ya Wilaya ya Siha katika kampeni ya upimaji wa afya inayoitwa ‘Dk Samia Suluhu Hassan Tiba Mkoba’, inayotekelezwa na Taasisi ya moyo ya Jakaya...

  7. CCM Hai yataka vitengo vya uchunguzi shuleni

    Wakati matukio ya ukatili yaliyoripotiwa wilayani Hai, Mkoa wa Kilimajaro yakipungua kwa asilimia 52.94, kutoka matukio 68 mwaka 2022 hadi matukio 32 mwaka huu, Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani...

  8. Mama miaka mitano jela kwa kumdhuru mwanaye

    Baada ya mahakama hiyo kumtia hatiani mwanamke huyo alilipa faini ya Sh300,000 na kuachiwa huru.

  9. Mama amuunguza mwanaye akimtuhumu kumchonganisha na mumewe

    Shayo ambaye ameachana na mke wake huyo, amesema tukio hilo limemhuzunisha kama mzazi na alichokifanya mwanamke huyo ni ukatili wa kinyama.

  10. ’Chungeni watoto wakati wa likizo’

    Zikiwa zimebaki siku chache wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari waanze likizo, wazazi na walezi wametakiwa kuweka mpango mkakati wa kufahamu ratiba za watoto wao wakiwa nyumbani ili...

    New Content Item (2)

Page 1 of 11

Next